Kaka shujaa Bwana Mohammad Dhaif
Mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas
Assalamu alaikum
Sisi ni kundi la wanafunzi wa shule ya Kiislamu katika seminari ya Qom, tunakupa pole wewe pamoja ndugu na dada zetu wote wa Kipalestina kwa kuuawa shahidi ndugu, wazee na jamaa zao huko Gaza, ambao nafasi yao kwetu ni sawa na sehemu ya miili yetu. Tangu tulipoona subira za watu mashujaa wa Gaza katika matukio ya kuwapoteza watoto wao wasio na hatia, tumekuwa na matumaini makubwa zaidi juu ya huruma za Mungu ndani ya wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Rehema ambazo, pamoja na kushuka kwake kama ni pozo, pia zitafuta doa chafu la Israeli kutoka kwenye ramani ya Asia ya Magharibi inshaa Allahu.
Kaka yake Mujahid Mohammad Dhaif
Tumekuwa tukingojea fursa kama hii kwa miaka mingi, ili tuwe bega kwa bega pamoja nawe, katika kuiporomosha nyumba ya dhuluma ya Wazayuni juu ya vichwa vyao. Sasa, kwa uvamizi wako huu mkubwa, wakati umefika wa kutimiza dhamira hii umefika. Tumedhamiria kuungana nawe nyuma ya ngomeni ya madhalimu, mara tu baada ya kuondoka kwa vikwazo na vizuizi mbele yetu.
Twatumai kukuona nawe pamoja na vipenzi wetu vijana wa Kipalestina.
فَإِذا دَخَلْتُمُوهُ فَإِنَّكُمْ غالِبُونَ (Na mkiingia mjini mwao bila shaka mtawashinda)
Umoja wahubiri wa Ashabu al-Sahib Alaihi al-Salam.
#بیانیه_مهم ✔️
▪️اعلام آمادگی جمعی از خطبای قم در راستای حمایت از مردم مظلوم غزه و تقویت جبهه مقاومت
#رسانه_باشید🙏
✅بیانیه فارسی و ترجمه به زبان های انگلیسی، عربی ، چینی و سواحلی را در این کانال ببینید 🔻
https://eitaa.com/joinchat/2801074347Ca3694db51f
هدایت شده از قرارگاه کریمه|اسکان ارزان زائران|
#پیام_مهم
توجه توجه🚩
📌با توجه به کاهش دما و بارندگی و افزایش زائران این پیام را به افرادی که نیازمند اسکان هستند ارسال بفرمایید🔻
ارسال عدد ۴
به ۳۰۰۰۱۵۱۵
💠 💠قرارگاه زیارتی کریمه قم🔻
https://eitaa.com/joinchat/500432913C19b2fc8809
🔅لینک اطلاع رسانی بیانیه اعلام آمادگی خطبا برای حضور در غزه
▪️خبرگزاری شبستان🔻
🔻https://www.shabestan.news/xjJML
▪️خبرگزاری رسمی حوزه🔻
https://hawzahnews.com/xcvB5
هدایت شده از مجمع خطباء اصحاب الصاحب-قم
#سلسله_جلسات_و_مباحثات_علمی
▫️▫️▫️▫️▫️▫️▫️
💠موضوع کلی:فلسطین و مقاومت
🔅ریز موضوع: راهکارهای عملی
📍جلسه:سوم
➖▪️➖▪️➖▪️➖▪️
📌توجه: خروجی جلسه محتوایی در برنامه ضبط رسانه ای دو شنبه بکارگیری خواهد شد.
✅کانال رسمی مجمع خطبا(اصحاب الصاحب)🔻
https://eitaa.com/joinchat/2801074347Ca3694db51f
#دیدار_خصوصی
💠دیدار اختصاصی جمعی مختصر از اعضای مجمع خطبا اصحاب الصاحب علیه السلام_قم با جناب حجتالاسلام والمسلمین آقای #سید_هاشم_الحیدری از رهبران جبهه مقاومت
✅کانال رسمی مجمع خطبا(اصحاب الصاحب)🔻
https://eitaa.com/joinchat/2801074347Ca3694db51f